![Nimeachilia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/18/b511012255db43fb8522362785115971_464_464.jpg)
Nimeachilia
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimeachilia - Ambwene Mwasongwe
...
Ulipanda mti mzuri
Ukategemea kuvuna matunda
Ila mti wenyewe,umezaa miiba na michongoma
Uliwekeza muda na mali ukamwagilia ukitarajia matarajio yamekuwa sio sasa umebaki na maumivu
Japokuwa uliiyona miiba ulijipa muda ukapogolea ulitarajia mabadiliko labda kesho mti utazaaa
Sasa imekuwa kinyume mti wako mwenyewe unakuchoma
Unalia (aaaaah)
Ukikumbuka mbegu (aaaaah)
Unalia (aaaaah)
Eeeeh ukikumbuka maji (vumilia)
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Nimeachilia MP3 song. Nimeachilia song from album Nimeachilia is released in 2023. The duration of song is 00:07:36. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Nimeachilia, Nimeachilia song, Nimeachilia MP3 song, Nimeachilia MP3, download Nimeachilia song, Nimeachilia song, Nimeachilia Nimeachilia song, Nimeachilia song by Ambwene Mwasongwe, Nimeachilia song download, download Nimeachilia MP3 song
Comments (28)
New Comments(28)
-am ree
MchomeSekela
Mungu mwema kwetu❤️
hellen kidimpo
nabarikiwa sna na hii nyimbo najiskia kuachila tu
SILVANUS GODFREYuz7mi
kyala akutule fijo!!!!!
eliedwini
barikiwa kaka
official1flavi
naipenda sana na inanibariki sana hii nyimbo
Liserczrxi
good song
mikaela kenny daffaar3fe
good song yanibarik naujumbe wakujitafakari nfanye nn
134767675
nabalikiwa sana na nyimbo zako[0x1f614][0x1f614]
debbyhnbd9
huwa unanibariki sana mungu akujalie hekima uifanye kazi yake huu wimbo huwa unanitoa machoz
zainabwq1ui
Asante Sana, nyimbo zako huwa sizichoki
Rosemary Amani
nimeachilia ya nyuma..nasonga mbele Mungu yu nami
i gaine new thoughts by this song asant