Kanisa la Mungu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kanisa la Mungu - The Saints Ministers
...
Kanisa la Mungu ni hospitali, watu wote waje kwake eeh, wale wanyonge wapate nguvu mpya, walio utumwani wako huru tena wanafurahia, waliotengwa wahisi wahusishwa waliosononeshwa na maumivu, kanisa la Mungu ndiwe kituo chao, patulivu.
Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu. Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu.
Walobarikiwa waja kwa shukrani kusimulia matendo yake ya ajabu kwa kusanyiko kubwa la watakatifu, na wewe sasa hebu tafakari, alokutendea. Mazuri yale unajivunia, chimbuko lao ni neema tosha, utoshelevu wetu watoka kwake, kwake Mungu.
Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu. Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu.
Kuna mama hapa alifiwa, hajapona moyoni mwake, mzee yule mkongwe amekuja kama Hezekiah, mneemeshe. Mtoto yule mchanga ameachwa na wazazi wake hajui ataanzia wapi, kwako kuna mianzo iliyo nora. Kijana yule aliyepanga ndoa ikasambaratika amefika na machungu, wote kama vile Ayubu licha ya maila wakuamini.
Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu. Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu.
Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu. Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu.
Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu. Tuje na familia, wakubwa kwa wadogo ooh, tutenge muda kumwabudu mtetezi wetu.
Similar Songs
More from The Saints Ministers
Listen to The Saints Ministers Kanisa la Mungu MP3 song. Kanisa la Mungu song from album Mungu Ni Nani? is released in 2023. The duration of song is 00:05:46. The song is sung by The Saints Ministers.
Related Tags: Kanisa la Mungu, Kanisa la Mungu song, Kanisa la Mungu MP3 song, Kanisa la Mungu MP3, download Kanisa la Mungu song, Kanisa la Mungu song, Mungu Ni Nani? Kanisa la Mungu song, Kanisa la Mungu song by The Saints Ministers, Kanisa la Mungu song download, download Kanisa la Mungu MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
peaceful _carol
Ben Molags4r7
kanisa la Mungu twaja
Oirerenate
I love this piece may the lord keep blessing you
Naum Talam
this song is a blessing, I cant stop listening May God bless you [0x1f618]
Joel mogakay9l8b
saints saints saints nimewaita mara ngapi
Philip Achoki
Nice
Brianbggok
God bless
Nyakundi_Omurwa
Amazing song
Amen