- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Safina - Stamina (TZ)
...
Halleluyah, Halleluyah
Halleluyah, Halleluyah
Halleluyah, Halleluyah
Halleluyah, Halleluyah
Baba kabla haujashusha gharika kwa nchi nzima
Umenituma dumu mwanao nije nijenge safina
Napo sema Mungu ni mkubwa, ni ukweli sio poyoyo
Amemfanya hadi kiziwi anaskia mapigo ya moyo
Dini sku hizi zinavuma kwa upepo wa kisulisuli
Sioni ibada wanashindana kuvaa vizuri
see lyrics >>Similar Songs
More from Stamina Shorwebwenzi
Listen to Stamina Shorwebwenzi Safina MP3 song. Safina song from album Safina is released in 2019. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Stamina Shorwebwenzi.
Related Tags: Safina, Safina song, Safina MP3 song, Safina MP3, download Safina song, Safina song, Safina Safina song, Safina song by Stamina Shorwebwenzi, Safina song download, download Safina MP3 song
Comments (29)
New Comments(29)
Gerryjafv8
Tryphonede5zj
ulimeza kamsi ya Oxford toleo la 2002 et Mungu awe nawe daima
Tryphonede5zj
aiseee stamina ulimeza kamusa ya Oxford toleo la 2002 et Mungu awe nawe daimaqq
chachapiter@gmail.com
yes nyimbo nzuri sana
chachapiter@gmail.com
yes hii ndo nyimbo
Nariko losivo
weeeee nice
128066663
Nenda
David Isaiahc3l07
all time best
waltercreator
wimbo wangu mkali wa mwaka 2020 asee mmeimba vitu real kabisa vilivyopo katika maisha ya sasa ambayo watu wengi wanaishiiii,,,,, ukiona watu wanakonda ujue pesa ndo jimu tosha..blessed
waltercreator
good
Frank hamie
JumaGulam55
makin broo

Fikra zinazojenga kutoka kwa morotalent