Nasimama
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Nasimama - Lady Jaydee
...
aliyepanga nimanani ooh
shida na riziki zangu
aliyezitupa gizani ooh
shida na tabu zangu x 2
nasimama na Mola
kwa kila jambo lile ntendalo
maneno ya watu bakora yalinichapa nikaumia
lakini machozi machozi niliyolia zamani yashafutika
japo simanzi majonzi yaliyojaa moyoni nikikumbuka
nlishaambiwa zamani kinyago uchongacho hakikutishi Ng'oo
see lyrics >>Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Nasimama MP3 song. Nasimama song from album Woman is released in 2017. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Nasimama, Nasimama song, Nasimama MP3 song, Nasimama MP3, download Nasimama song, Nasimama song, Woman Nasimama song, Nasimama song by Lady Jaydee, Nasimama song download, download Nasimama MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Kenyatta_BND
Musa Robertci0w1
jamajamaaaaa
MatalumaAsha
Nyimbo mzur sana
755991153
original song
Davidsc67nj
for sure its a nice song and educated once
ngoma Kali sanaaa
Moses charlescx6mi
Ngoma safi
my favorite songs of always ❤️[0x1f612][0x1f619][0x1f621][0x1f617]