- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
Hidaya - THEO JEEZEY
...
Kanga moko vaa na upendeze Na mi ondoko sogea niku eleze Hey Tunza mazingira mi ndo yule Wako Asira za nini mi ndo size yako Wewe chechee Moyo na umia sija zowea kulia Nime shindwa tulia Kawaida ndo dunia Kisa mapenzi si lali Moyo una dunda mbio Nime legea vibaya mapenzi Hey Kuzaraulika mi sijali Sitaki news za kilio Uta ni uwa Hidaya kwa mapenzi Nife nawe ee Hidaya Ghafla nizikwe nawe my baby Ku ishi mbali si sawa hey Mi nahisi vibaya my baby Hidaya Zile shevu kiwe Hidaya Nita baki na we Hidaya Moyo wangu ni we Hidaya Mi nalizwa na we Hidaya Unge ni taja hata kwa jina Hidaya naona mapenzi pesa mi sina Hidaya Unge ni taja hata kwa jina Hidaya Mapenzi Hidaya we uni linde Niki enzi vibaya bora nifungwe Heshima ya mapenzi Ume tupa mbali Ume penda vi chenji We sugarmamy Naumia mwenzio naomba Urudi nyumbani Nilmesha jaza salio Kisima cha burudani Acha ni kwambie We onja usikie Wa ringishie Penzi la mi na wewe Chechee Zile shevu kiwe Hidaya Nita baki na we Hidaya Moyo wangu ni we Hidaya Mi nalizwa na we Hidaya Unge ni taja hata kwa jina Hidaya naona mapenzi pesa mi sina Hidaya Unge ni taja hata kwa jina Hidaya
Similar Songs
More from THEO JEEZEY
Listen to THEO JEEZEY Hidaya MP3 song. Hidaya song from album Passion is released in 2023. The duration of song is 00:04:13. The song is sung by THEO JEEZEY.
Related Tags: Hidaya, Hidaya song, Hidaya MP3 song, Hidaya MP3, download Hidaya song, Hidaya song, Passion Hidaya song, Hidaya song by THEO JEEZEY, Hidaya song download, download Hidaya MP3 song