- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
Azama - THEO JEEZEY
...
Vipi uta tulia ama nawe Uta ni kimbia Azama Nacho fikiria tuki kosana Uka ni zinguwa Azama Sema mi sina la kusema Na hofia moyo wangu kuni tesa Tena naogopa kuku amini Penzi kamari una mix vibaya Aza azama Waza wangu wa zamani Tunda apple la moyo Uki ni amini maisha yangu Ni wewe Nalia uki ni ona taahila Bugia penzi langu una njaa Naona kesi sio fresh kuni tesa Ama tena una ona doa kuni penda dear Hey Kama tuna pendana Tuta kosana hilo tambuwa uu You know kwenye maisha Kupata na ku kosa uone kawaida Azama Napenda kachumbari uki ni chemshia Yaani chunvi mamy nyunyizia Ka pike ndo tule tushibee Wapweke tucheze tukeshe Mapenzi tamu kama ziwa na asali Vipi ni ku ache Na michezo wani vuruga akili Na watoto tuzae Nalia uki ni ona taahila Bugia penzi langu una njaa Naona kesi sio fresh kuni tesa Ama tena una ona doa kuni penda dear Vipi uta tulia ama nawe Uta ni kimbia Azama Nacho fikiria tuki kosana Uka ni zinguwa Azama Sema mi sina la kusema Na hofia moyo wangu kuni tesa Tena naogopa kuku amini Penzi kamari una mix vibaya Nalia uki ni ona taahila Bugia penzi langu una njaa Naona kesi sio fresh kuni tesa Ama tena una ona doa kuni penda dear
Similar Songs
More from THEO JEEZEY
Listen to THEO JEEZEY Azama MP3 song. Azama song from album Passion is released in 2023. The duration of song is 00:03:24. The song is sung by THEO JEEZEY.
Related Tags: Azama, Azama song, Azama MP3 song, Azama MP3, download Azama song, Azama song, Passion Azama song, Azama song by THEO JEEZEY, Azama song download, download Azama MP3 song