Nishike Mkono
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Hapa nilipo ni kwa neema yako tu
Uai huu ni neema yako tu
Kazi yangu ni Baraka zako tu
Familia yangu ni uweza wako tu
Nilipotoka ni mbalieh( Mbali sana)
Ninapokwenda ni mbalieh (Mbali sana)
Bila wewe Mungu mimi siwezi jambo lolote
Bila Nguvu zako nitashindwa na yadunia
Nishike mkono wako nisije angamiaahh
Nishike mkono wako ehe Yesu x²
see lyrics >>Similar Songs
More from Honore Barzack
Listen to Honore Barzack Nishike Mkono MP3 song. Nishike Mkono song from album Nishike Mkono is released in 2022. The duration of song is 00:04:00. The song is sung by Honore Barzack.
Related Tags: Nishike Mkono, Nishike Mkono song, Nishike Mkono MP3 song, Nishike Mkono MP3, download Nishike Mkono song, Nishike Mkono song, Nishike Mkono Nishike Mkono song, Nishike Mkono song by Honore Barzack, Nishike Mkono song download, download Nishike Mkono MP3 song