Nishike Mkono Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Hapa nilipo ni kwa neema yako tu
Uai huu ni neema yako tu
Kazi yangu ni Baraka zako tu
Familia yangu ni uweza wako tu
Nilipotoka ni mbalieh( Mbali sana)
Ninapokwenda ni mbalieh (Mbali sana)
Bila wewe Mungu mimi siwezi jambo lolote
Bila Nguvu zako nitashindwa na yadunia
Nishike mkono wako nisije angamiaahh
Nishike mkono wako ehe Yesu x²
[Baba nike mkonoh]
Nishike mkono eh Baba x⁴
Nafsi Yangu nakupa utawaleh
Mawazo nakupa utawaleh
Fikra zangu nakupa utawaleh
Nikiwa na wewe sitashundwa na lolote
Nikiwa na wewe sitaogopa chochote
Nakwita [Adonai]
Nakwita [Elshadai]
Nakwita [Ebenezer] akuna Mungu kama wewe x²