![Sauti Ya Watu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/01/ee380ab61cf64f9fba33657a92a4bbb1_464_464.webp)
Sauti Ya Watu
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sauti Ya Watu - Nay Wa Mitego
...
Hii sio sauti ya kiharakati
Wala ukombozi wa musa na fimbo yake
Bali haya ni maumivu ya mnyonge
Anaewakilisha walala hoi wenzake
Kwenye kinywa kilichokosa pakuseme hisia zake
Mmmh eee mmh eee mmm eeeh
Rais
Natanguliza samahni kwa wale ntakao wakwaza
Yamenifika hapa nimeshindwa kunyamaza
Wapo wengi kama mimi wenye sauti kama mimi
see lyrics >>Similar Songs
More from Nay Wa Mitego
Listen to Nay Wa Mitego Sauti Ya Watu MP3 song. Sauti Ya Watu song from album Sauti Ya Watu is released in 2022. The duration of song is 00:04:24. The song is sung by Nay Wa Mitego.
Related Tags: Sauti Ya Watu, Sauti Ya Watu song, Sauti Ya Watu MP3 song, Sauti Ya Watu MP3, download Sauti Ya Watu song, Sauti Ya Watu song, Sauti Ya Watu Sauti Ya Watu song, Sauti Ya Watu song by Nay Wa Mitego, Sauti Ya Watu song download, download Sauti Ya Watu MP3 song
Comments (597)
Top Comments (34)
Junior1881
omben28qdr
bonge ya chumaa.... salam zimfikie mamaa>
abouraq
Tusemeee #trueboy>
New Comments(597)
165800353
Tanzania ninchi ya lana tu...!
145243128
real
Revocatusgvlae
kula chuma icho
WILLIAMM RICHARD
Big up sana rais wamanzese
Husseinhszwx
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/10/277f2ccd3bf542fea96aae633e7099b6.jpg)
Erkus Richard
blaza umemaanisha kweli
musa barah
nakumbali sana
swedy kb
Raisi wa kitaa ✊
Jackline 5qfsz
Mungu akulinde tuu usije kamatwa tena
Juma Maro50jqh
hiii ni sauti ya watu
154095431
Asante kwakutuwakilisha masikini
israelynake
asante ney umetu wakilisha tusinge weza
madereva bodaboda na bajaji wanapata tabuu japo kuwa ndio kama hivy waneamua kujiajir wakikamatwa fain kubwa kulik kinacho ingia>