![Iqra ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
Iqra ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Uwe mtulivu uwe mjuaji much know/
Shika elimu, ongeza elimu kielimu uweze grow/
Usiache kusoma waarabu wanasema iqra/
Mambo mbalimbali fahamu kwenye maisha/
Usiache dunia inabadilika kwa kasi/
Huenda unachojua leo kitashuka thamani/
Usiishie kukumbata ulichojua zamani/
Make sure unaongeza kitu kipya kichwani/
Na hata kama ni kimoja kila day/
Zingatia hakikisha hakitoki kinastay/
Maana elimu ni elimu iwe ndogo ama kubwa/
Na kama itakufaa si mzuka?/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Iqra ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Iqra ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:03:58. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Iqra ft. Adam Shule Kongwe, Iqra ft. Adam Shule Kongwe song, Iqra ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Iqra ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Iqra ft. Adam Shule Kongwe song, Iqra ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Iqra ft. Adam Shule Kongwe song, Iqra ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Iqra ft. Adam Shule Kongwe song download, download Iqra ft. Adam Shule Kongwe MP3 song