![Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/0762a7ab3f8a4da09babc66d32b0e8ef_464_464.jpg)
Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Jambo woteee...jambo woteee.. Jambo wote..jambo wote
Jambo wote, mtu mzima nshawasili/
Na leo ntaongelea tiba za asili/
Vuteni viti kwanza, shikeni biki kwanza/
Andikeni tiba hii inahusisha mitishamba/
Yani mimea inayotumika kama dawa/
Iwe majani mizizi, maua mbegu na maganda/
Nafaka na gundi na kadhalika/
Pia mpaka matunda yanahusika/
Vilevile makundi ya vyakula mbalimbali/
Hii tiba haihusu dawa zenye kemikali/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:03:36. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe, Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song, Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song, Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song, Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe song download, download Asili Halisi ft. Adam Shule Kongwe MP3 song