![Tulipotoka Ni Mbali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/08/9d64f0a28d194ae1a1d1006a8d5a610d_464_464.jpg)
Tulipotoka Ni Mbali
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Tulikotoka nimbali ni mungu katutoa nakule tunapokwenda atatufikisha wengine tusingekua tulivyo ila mkono wa mungu alietufiksha hapa atatufikisha tuendako
Hatuna shaka na mungu alie tutoa mbali hawezi kushidwa kutufikisha tuendako
Tumaini la wengi kimbilio la wengi kila alie mkimbilia amekua salamaa
kiongozi mwemaa wa safari tulionayo tukipotea njia yeye ni mchungaji mwema
Tunatiwa moyo na wana Israeli walipo ikosa njia mungu alifanya njiaa
Tunatiwa moyo na mtu wa mungu Daniel ndani ya tundu lasimba mungu akamuokoa
Tunatiwa nguvu na mtu wa mungu eliah katikati ya miungu alishusha moto
Tunatiwa nguvu na mtu wa mungu yoshua alisimamisha jua jua lika sim
Similar Songs
More from Martha Mwaipaja
Listen to Martha Mwaipaja Tulipotoka Ni Mbali MP3 song. Tulipotoka Ni Mbali song from album Tusikate Tamaa is released in 2013. The duration of song is 00:07:30. The song is sung by Martha Mwaipaja.
Related Tags: Tulipotoka Ni Mbali, Tulipotoka Ni Mbali song, Tulipotoka Ni Mbali MP3 song, Tulipotoka Ni Mbali MP3, download Tulipotoka Ni Mbali song, Tulipotoka Ni Mbali song, Tusikate Tamaa Tulipotoka Ni Mbali song, Tulipotoka Ni Mbali song by Martha Mwaipaja, Tulipotoka Ni Mbali song download, download Tulipotoka Ni Mbali MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Salumu Okrah
unique de ASA family
ni kwa neema ya mungu tu [0x1f614]
kwaneema yamngu