Jaribu Kwa Mtu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Jaribu Kwa Mtu - Martha Mwaipaja
...
Song: JARIBU by Martha Mwaipaja
Instruments
(Jaribu kwa mtu si kwamba ni mtenda dhambii...ila ni kikombe tuu lazima akinywe
Jaribu kwa mtu si kwamba kakosa kwa mungu ila ni wakati tuu ambao ni lazima apitie)×2
Usimuone mtu anapita kwenye jaribuu anavumilia kwa sababu ni wakati wake...maumivu aliyonayo hawezi mpa mtu ananyamaza kwa sababu ni kikombe chake...hakuna aliewahi omba kwa mungu apitie yale anayoyapitia, hakuna aliesema na mungu yampate yaleyale yanayompata...
(Jaribu lingeondolewa kwa kuomba sana wote tungeomba tusipite kwenye Jaribu, jaribu lingekwepeka kwa kufunga sana ndugu yangu wengi tungefunga tusipite kwenye jaribu...)×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Martha Mwaipaja
Listen to Martha Mwaipaja Jaribu Kwa Mtu MP3 song. Jaribu Kwa Mtu song from album Ombi Langu Kwa Mungu is released in 2013. The duration of song is 00:10:04. The song is sung by Martha Mwaipaja.
Related Tags: Jaribu Kwa Mtu, Jaribu Kwa Mtu song, Jaribu Kwa Mtu MP3 song, Jaribu Kwa Mtu MP3, download Jaribu Kwa Mtu song, Jaribu Kwa Mtu song, Ombi Langu Kwa Mungu Jaribu Kwa Mtu song, Jaribu Kwa Mtu song by Martha Mwaipaja, Jaribu Kwa Mtu song download, download Jaribu Kwa Mtu MP3 song
Comments (52)
Top Comments (2)
omondi Stephen owino
Willey Chriss
Asante. Amina>
New Comments(52)
Peter Sinjore
amen
kalume Jr
kenya
khanvoicejr
martha napenda xana nyimbo zako
NihasheFam
ujumbe mzur sana,nimefarijika na huu wimbo[0x1f623][0x1f623]
DOUGLAS MULAMBA
vraiment ce juniale , karibu si kwamba alitenda zambi ni kikombe
151409794
alex josephojuyz
hakikaninzurinyimbozako
kwel
Erick Omuse aagem
Hiyo yenye unapitia ni kwa muda tu
jay ibrah
nyimbo nzuri
so awesome..... >