
Kesho Yetu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Aaaa aah aaah
Usije niacha machao ma Utaniumiza
Ikawa karaga bao
Japo naranda mawe la Nadunduliza
Tuje fanana nao
Ukweli bila wewe mwenzako Tambara
Nitakosa thamani ndani ya Dunia
Kabisa sakara
Vumilia nyota itang'ara
Ukienda hata nuru nayo itafifia
Wangu cheusi mangara
Amepanga mungu mi na we Kuwa pacha
Yao majungu usije ukaniacha
Ridhiki mafungu nasi tutapata
Tuta tamba kama wao
Amepanga mungu mi na we Kuwa pacha
Yao majungu usije ukaniacha
Ridhiki mafungu nasi tutapata
Tuta tamba kama wao
Labda kesho zamu yetu yaja
Labda kesho nasi tutapata oh
Labda kesho zamu yetu yaja
Labda kesho nasi tuwe kama wao
Na kile kijora cha mkopo
Kwa mama shabani tutalipa
Vumilia msoto
Ata ada za watoto
Kuna dili nilipiga itajipa
Japo tajiri kala chocho
Nabangaiza mumeo natafuta Ule ushibe
Kuna muda najiuliza
Nikope nikabe au nikaibe
Amepanga mungu mi nawe Kuwa pacha
Yao majungu usije ukaniacha
Ridhiki mafungu nasi tutapata
Tuta tamba kama wao
Amepanga mungu mi na we Kuwa pacha
Yao majungu usije ukaniacha
Ridhiki mafungu nasi tutapata
Tuta tamba kama wao
Labda kesho zamu yetu yaja
Labda kesho nasi tutapata oh
Labda kesho zamu yetu yaja
Labda kesho nasi tuwe kama wao
Labda kesho zamu yetu yaja
Labda kesho nasi tutapata oh
Labda kesho zamu yetu yaja
Labda kesho nasi tuwe kama wao