
UNATAKA Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Renie artist
Call me slimdaddy
Ishakuwa mda sana bwana producer
Kuna mwali mi ameniita
Na anadai anaitwa tu jadota
Kani follow facebook hadi twitter
Chuchu zake saa sita
Feelings sikuficha
Aki walai mi naitwa Renie
Kawangware wana niita slimdaddy
Oooh ooh oh slimdaddy
Nishaji cocky yaani geji langu lipo juu
Mtoto we mnaughty basi kam juu
Basi fanya kama unajichetua, chetua
Nipate kukupekua, pekua
Na muhogo basi sindilia, sindilia
Shika na ukuta
Basi fanya kama unajichetua, chetua
Nipate kukupekua, pekua
Na muhogo basi sindilia, sindilia
Shika na ukuta
Mi najua unataka
Nami ninataka
Unataka nami nina ta ta ta
Aaaah na na na nah
Ah na na
Ah na na nah
Unataka
Aaaah na na na na
Ah na na
Aah na na na nah
Unataka
All a long tusha meet kwenye kumbi tofauti
Ukinukia tu cologne
Na nywele yako iko very long
Inama, chutama
Yaani kama kuku unakula mtama
Inama chutama
Ibaki tupu tupu nikupe changama
Na ile zigo ndio kama umesusiwa, tetema
Madoido ndio nachanganyikiwa na maneno
Mi najua unataka
Nami ninataka
Unataka nami nina ta ta ta
Aaaah na na na nah
Ah na na
Ah na na nah
Unataka
Aaaah na na na na
Ah na na
Aah na na na nah
Unataka
Mtoto upo simple punguza kimombo
Mtoto upo simple punguza kimombo
Unataka
Mtoto upo simple punguza kimombo