Nakupenda (feat. Kidaboe) Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Nakupenda (feat. Kidaboe) - Sukizzy
...
Oooh..! Oooh...! (Mr Sukkizy..) Ooooooh!...
Oooh..! Oooh...! Ooooooh..!
nakupenda, nimekupa mtima.
ukinitenda nitakufa mazima.
Usije enda , we mama la mama.
wewe weweee..!
nakupenda , nimekupa mtima.
ukinitenda , nitakufa mazima.
usije enda, we mama la mama.
wewe ee eeeh..!
(najua ujana maji ya moto..
pia na mapenzi ni changamoto..
basi babe mama wacha utoto..
si unajua wee ndo wangu wa ndoto...)×2
Ah..! mama penzi letu kubwa Title ..
wabaya wanapata manung'uniko..
Ah..! tena si ndo vile changu ni chako..
hapana kuachana me ndo mwenzako..
mama penzi langu ntalipigania ..
unachotaka ntatafuta nitakuletea..
alafu pia nikikosa babe vumilia..
sio kidogo tu uchozi unaanza kulia..
nakupenda , nimekupa mtima, ukinitenda, nitakufa mazima, usije enda, we mama la mama, wewe ee! wewe..
nakupenda , nimekupa mtima, ukinitenda, nitakufa mazima, usije enda, we mama la mama, wewe eeeh..!
tumetoka mbali form one and two.
tumevuka vikwazo maneno ya watu.
nishakula kiapo uwe mama mtu.
ujapenda mali umenipenda mimi tu..
Hahaha..!
Babe kuna jambo nataka nkwambie.
come close kuna kitu nataka usikie.
me nataka wee ndo uwe mke wa mie.
Jah abless me nataka nkuo ee!
mama penzi langu ntalipigania ..
unachotaka ntatafuta nitakuletea..
alafu pia nikikosa babe vumilia..
sio kidogo tu uchozi unaanza kulia..
nakupenda , nimekupa mtima, ukinitenda, nitakufa mazima, usije enda, we mama la mama, wewe ee wew..!
nakupenda , nimekupa mtima, ukinitenda, nitakufa mazima, usije enda, we mama la mama, wewe eeeh..!
Nakupendaaaa..!
Nakupendaaaa..!
Nakupendaaaa..!
Nakupendaaaa.. aah aaah..!
Ooooh..! Oooh..!
Oooh..!