Ni Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Japo nimejawa mashaka na uwoga, ila bado wewe ni nguvu yangu
Japo sifaham njia zako zote ila nna imani kwako ee Mungu wangu,
(Bridge)
Nitasema, nitaimba, nikiutangaza
Ukuu wako, neema zako Bwana.
Nitasema, nitaimba, nikiutangaza
Ukuu wako, neema zako maishani mwangu mi
(Chorus)
Ee Mungu Mungu wangu
Safisha roho yangu
Mwenye uhai wangu
Ni wee!
Ee Mungu Mungu wangu
Safisha dhambi zangu
Mfalme wa maisha yangu
Ni wee!
Ni wewe x5
(Verse2)
Sitosita tena kukufata wewe, kwasababu ndiye
Mwanga wangu,
Sitosita tena kukuabudu wewe kwasababu ndiwe mkombozi wa maisha yangu
(Bridge)
(Chorus)