Hauzimi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Hauzimi - Benson
...
ni vipi naweza kunogesha furahisha na pendo likolee,,, nilieleze kitu gani sijafanya au nafanya unaisi nakosea ...niwapi nitashika ukalidhika..burudika na pendo liendeleee .... maana imakuwa nongwa ..kisa lika unaniambia siwezi mengine......