Mashaallah Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Mashaallah - Benson
...
…..
Oh nashangaaa
Zawadi gani ya penzi nilokupaaa
Kwangu we tibaaa
Hauchukii hata kama nikiteleza
Haushangai hali yangu ya kipato
Napata uoga moyo wangu huenda mbio
Japo nafanya na unayaona kwa machoo
Hujanishusha kwa yangu matukioo
Ivi ni nn inafanya unipendeee
Unazudi kunipa mawengee.
X 2
Mashallaah
Oh mashallaah
Oh my love
X2
Kama nikichomwa mwiba we dawa
Hunisahau kwenye sala
We ndo mwamvuli wangu mwandani
We unanivumilia a ah
Nikikukosea
Kichwani mwako wala haunisahau
Bustanini najipata
Baridi limekata
Ya nn jangwani nikajilagai nikajilagai
Mapenzi mshawasha
Kwako nn sijapata
Timbwili za nn najidai najidai
Ivi ni nn inafanya unipendeee
Unazudi kunipa mawengee. X 2
Mashallaah
Oh mashallaah
Oh my love Ayaya X2