![Mungu Alidhihirishwa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/17/51cb5e5a1d124b729b0f3e8810d7a816_464_464.jpg)
Mungu Alidhihirishwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Mungu Alidhihirishwa - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
******piano*******
*****VERSE1*****
1Timoth 3:16
Mungu alidhihirishwa
mapema katika mwili
akajulikana kuwa
na haki katika roho
Mungu alidhihirishwa
mapema katika mwili
akajulikana kuwa
na haki katika roho
akaonekana na malaika
akahubiriwa kwa mataifa
akanonekana na malaika
akahubiriwa kwa mataifa
akaaminiwa katika ulimwengu
akachukuliwa katika utukufu
akaaminiwa katika ulimwengu
akachukuliwa katika utukufu juu
******VERSE2*****
WAEBRANIA HEBREWS 2:1-3
hivyo imetupasa
kuangalia zaidi
yale yalosikiwa
tusije tukayakosa
hivyo imetupasa
kuangalia zaidi
yale yalosikiwa
tusije tukayakosa
kwa maana ikiwa
neno lile lililonenwa
na malaika lilikuwa imara
na kila kosa na uasi
tulipata ujira kwa haki
sisi je, tutapqtqje kupona?
tusipojali wokovu mkuu namna hii
kutoka kwa Mungu.
*******verse3******
1Peter 2:6
tazama naweka
katika sayuni
jiwe (teule) kuu lenye sifa
lenye heshima
(mtu yeyote) Kila amwaminiye
ataokoa
(asiyemwamini) asiyemwamini atahukumiwa
tazama naweka
katika sayuni
(jiwe lile) jiwe kuu lenye sifa
(teule) lenye heshima
kila amwaminiye ataokoka
asiyemwamini atahukumiwa
*******piano******
Waebrania/Hebrews 1:3,5
Ndiwe mwanangu
leo nimekuzaa
umefanyika bora
kupita malaika
(wewe ni kuhani)
ndiwe mwanangu
leo nimekuzaa
(mfano wa Melikizedeki eeh)
umefanyika bora
kupita malaika
nitakuwa kwake
baba
na yeye atakuwa
kwangu mwana
nitakuwa kwake baba
na yeye atakuwa
kwangu mwana
******instruments ******
alisulibiwa kwa ajili yetu
ili mimi na wewe
tupate kupona
alichubuliwa kwa dhambi zetu
ghadhabu ya mauti yetu
ilikuwa juu yake
alisulibiwa
(na misumari)
kwa ajili yetu
ili mimi na wewe
tupate kupona
(Golgotha alibeba mauti)
alichubuliwa kwa dhambi zetu
adhabu ya mauti yetu
ilikuwa juu yake
*****piano*****
ndiye Mungu atupenda
Imanueli jina lake
Ndiye Mungu atupenda Imanueli Jina lake
*******the end*****
thank you for supporting Rose Muhando Ministry
lyrics synch by Phellow Aduvaga 254790511905