SHUKA BWANA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2008
Lyrics
SHUKA BWANA - JSISTERS
...
shuka bwana tuokoe, shuka Bwana utukomboe pekee yetu hatuwezi fanya kitu leo×2
ona na yatima wanalia wamekosa msaada wajane waomboleza usiku mchana
wagonjwa wamalizwa na magonjwa ya dunia, wafungwa magerezani wafungwa bila hatia. amani, faraja, rahema haki, uponyaji, kibali na huruma yako visimame maishani mwetu.
Eh e! baba yangu uwe Mungu wangu zaidi sema na mioyo yetu iliyokata tamaa na kujeruhiwa ili tusirudi nyumba bali tusonge mbele.
shuka bwana tuokoe, shuka Bwana utukomboe pekee yetu hatuwezi fanya kitu leo×2
wapo wakufao waja na vita familia zinavunjika maovu yazidi wengine wagusacho Baba akifanikiwi, wanafunzi mashuleni Baba wakumbuke. Amani faraja rehema, haki, uponyaji, kibali na huruma yako visimame maishani mwetu.
Ehe! Baba yangu Uwe mungu wangu zaidisemaa na mioyo yetu iliyokata tamaa na kujeruhiwa ili tusirudi nyumba bali tusonge mbele.
shuka bwana tuokoe, shuka Bwana utukomboe pekee yetu hatuwezi fanya kitu leo×......