![NAYO NAYO](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/03/d7c06bc77835475d82d69eae07ff7da8_464_464.jpg)
NAYO NAYO Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
NAYO NAYO - HR The Messenger
...
VERSE 1 (SEWERSYDA)
kwa background haitusaidii juu adi ulipata hio ganji ukatutoka
I'm so proud nliomoka, lakini mkini hustle nimesota
last year ulikuwa bro guard, this year unajiona broker
nisionekane streets labda nikitembeza products
kwenye ki-slow burn ndani ya slow coach na nki-durban
stage ya saba, sirboy ulishukishwa na akakatwa suburbs
makanga alinipeana vuliwa rubbers ile kuelewana
fanywa, fanywa kaa mfano, old school kama warlord
nayo, nayo tapo nyayo nikielekwa tao yoooh
mnatupeleka rao na hio dinga na ata hakuna baro
oshewa salo, jipate cardio, heart attack juu ya io mambo
hata but umeji_cancel, we ni super rat kama mario
{ HR- AHA}
HOOK
Hatuiachi iende, hatuiachi iende, nayo nayo, nayo nayo
Hatuiachi iende, hatuiachi iende, nayo nayo, nayo nayo
yoooh
VERSE 2 (HR MESSENGER)
Nayo nayo, rada ni fisa mayo, wakitinga dirisha, wa cheki mamchizi juu ya ceiling nayo nayo
anaku feelings hii pande uliambiwa unapendwa ni vako
ni wako ni wangu ni wetu aah mali ya sacco
ngware raukia mida kitu saa tano nishatinga hustle
juu ya senke niki sepa waya kuwabebea mkando
kitu tu naskiza joh ni wada wada pale kwa bando
kitu tu naskiza joh ni wada wada zzabe na zabra
slim adai kuiwasha cheza chini kuna ma_informer
nyuma ya stage msupa adai kuirusha kaa utaigonga
promoter aliingizanga njeve pale one eleven
tulimrushia morio kwanza hukuwanga maji ss_deilee
aagh
HOOK
Hatuiachi iende, hatuiachi iende, nayo nayo, nayo nayo
Hatuiachi iende, hatuiachi iende, nayo nayo, nayo nayo
yoooh
Hatuiachi iende, hatuiachi iende, nayo nayo, nayo nayo
Hatuiachi iende, hatuiachi iende, nayo nayo, nayo nayo