Gwantana ft. Scar Mkadinali Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Gwantana ft. Scar Mkadinali - HR The Messenger
...
cheki yoh..
zangu zimeshika zimegwantana(×2)
sivutangi shisha au shada aah
msupa akiitisha namkamata
msupa akiitisha tubanana
hakuna vile nitadai hapana
acome na beshte yake wanaofanana
nikule niruke ka Lazarus
hii beat ikicome mi ni murderer
hii beat ikicome hii ni massacre
kachumbari tena masala
picha Fulani ya mabachelor
floor ni chafu imeparara
kusini mpaka uko maralal
unataka beat salama
nipate street Mara that