CHEERS BABA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
(Chorus)
Ndio hao
Cheers baba
Ndio wale wale
Cheers baba
Hayawani wa kuparty
Cheers baba
Starter pack ndio sare
Cheers baba
(Kibby)
Twende bas
Twende bas
(OG)
Mmmhhh
(Kibby)
Zama hivi nami
Twende Coast bas
(OG)
Haya bas
(Kibby)
Haya bas
(OG)
Sawa bas
(Kibby)
Sawa bas
(OG)
Ngoja nimtulize mke waswas
(Kibby)
Waswas
Waswas
Kwani hamkudiscuss
Tunawaacha either way Kwani what's worse
(OG)
What's worse
(Kibby)
What's worse
(OG)
What's worse
(Kibby)
Kwani what's worse
(OG)
Worse ni me nitoke bila valid pass
(Kibby)
Si sorry bas
(OG)
Hamna was as long as they believe us
(Kibby)
Release us
(OG)
And bid us kwaheri na mavisas
(Kibby)
Uuuuh vroom vroom screw mwendo wa kas kas
Mara Mtito mara Voi tushafika bas
(OG)
Haya bas
(Kibby)
Haya bas
(OG)
Shusha bags
(Kibby)
Shusha bags
(OG)
Wapi mhuduma kuna visitors
(Kibby)
Eeeeh we need to hit the beach very very fast
As fast as our pretty legs carry us
(Chorus)
Cheki hao
Macheers baba
Kina you guy my guy
Wakicheers baba
Samurai wamandae ndio
Macheers baba
Nyanyueni bilauri click
Cheers baba
Ndio hao
Cheers baba
Ndio wale wale
Cheers baba
Hayawani wa kuparty
Cheers baba
Starter pack ndio sare
Cheers baba
(OG)
Heeeh Jesus
Be with us
Nimepata missed calls numerous
(Kibby)
Eh dangerous
Hiyo ni serious
Buda itabidi ucheze kigenius
(OG)
Ati kigenius
(Kibby)
Kigenius
(OG)
Sawa engineer
(Kibby)
Mmhhh
(OG)
So utafuta picha zote social media
(Kibby)
Wallai social media
(OG)
Ehh niko social media
(Kibby)
Eh
(OG)
Na picha nishatumiwa maze nimekumbatiwa
(Kibby)
Wa wa wa wa niko kwa hizo picha
(OG)
Sura imejificha lakini you can't hide your features
(Kibby)
Ngori joh
Najulikana kaa holy joh
(OG)
Buda focus unajua hii ndio last chance
Na kuna kaevidence kwa hii incidence
Na yule hatambuangi macoincidence
(Kibby)
Si basi ujidefend
Sema she's just my friend
Ebu mchapie urepent
(Chorus)
Cheki
Cheki hao
Macheers baba
Kina you guy my guy
Wakicheers baba
Samurai wamandae ndio
Macheers baba
Nyanyueni bilauri click
Cheers baba
Ndio hao
Cheers baba
Ndio wale wale
Cheers baba
Hayawani wa kuparty
Cheers baba
Starter pack ndio sare
Cheers baba
(OG)
Ohhh hii imeenda horribly wrong
So afadhali tujipange twende hurriedly home
(Kibby)
Ah maze my nigga c'mon
Si si ma'Flash Gordon'
Mwambie awache ucolon
Natafta nani nasimwon
(OG)
Watafta nani na humwon
(Kibby)
Yule boy wetu chaperone
Hebu sip hii Bourbon
Nikimtaftanga kwa phone
(OG)
Sawa basi kaa ni drink ntadown
But don't be gone for long
You know we should be gone
Kabla ifike majion
(Kibby)
Kabla ifike majion
Kibby :: Your glass is empty bro
OG :: No no no no no I think I've had enough you guy
Kibby :: Ah just one more drink
OG :: You you you you know how my mama brings beef you guy
Kibby :: Okay okay okay fine then I propose a toast
OG :: Cheers buh but you know we should be gone
Kibby :: Ah there's still time
OG :: Kabla ifike majion
Kibby :: Ehhh
OG :: Kabla ifike majion
Kibby :: Ha ha ha ha ha
(Chorus)
Cheki hao
Macheers baba
Kina you guy my guy
Wakicheers baba
Samurai wamandae ndio
Macheers baba
Nyanyueni bilauri click
Cheers baba
Ndio hao
Cheers baba
Ndio wale wale
Cheers baba
Hayawani wa kuparty
Cheers baba
Starter pack ndio sare
Cheers baba