MADUSH (feat. MUNCHYZ) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro:
Dush....dush.....you such a dush..
Dush dush dush dush MADUSH,MADUSH,tule tudem ni tudush,MADUSH MADUSH MADUSH MADUSH...
Verse 1
Hata kama wale dem ni madush siwezi dish nao tukibugia vileo wanaseti pilau ndio wanitoke Thao ni kama wamesahao siwezi “dush nyaoo” MI NDIO LEGRAND MOPAO....juu ya hio madharau acha niite washika DAO uviringwe Kwa kikao uwekwe kwa madhabahu uelimishwe angalau unusurike mambao sije pelekwa karao si wajua mambo yaoo,n’na zao tena wote wapigwa nao,miaka yote wao wanioni kwao nkt...acha n’achane nao ...lakini wakija noma noma si wajua nazama nayo.....
Chorus
DUSH.....
(dem ni tudush) MADUSH tule tudem ni tudush,(dem ni tudush) MADUSH MADUSH MADUSH MADUSH....(dem ni tudush) MADUSH tule tudem ni tudush (dem ni tudush) MADUSH...MADUSH MADUSH MADUSH
Verse 2
Someone PLIZ ebu ring the alarm Kuna tudush hapa wametukwama kama gum wanatucheki na zile Macho kama they want sooomeee....thing to do to me (ndiO Kwa maana wamejam) nakuanga always timam sikulangi za haram acha niende hivi nakam niongeze mahanjam....oya dogo utu tudem ni ngori,wanapendaga mistari za gari za kifahari heri nikutahadhari wakija uwe tayari isije ikawa ni stori mwishowe utokwe porii.....mwanangu vile vile ki mwembe tayari,hii sampuli ya watu I say....HATARII
Chorus
DUSH.....
(dem ni tudush) MADUSH tule tudem ni tudush,(dem ni tudush) MADUSH MADUSH MADUSH MADUSH....(dem ni tudush) MADUSH tule tudem ni tudush (dem ni tudush) MADUSH...MADUSH MADUSH MADUSH
Bridge
Wana umbea wanapenda kula fare marashi zao nazo zime wakolea, utawajua vile wanavyo tembea heels inch kumi balance kwa hewa.
Verse 3
Cheki heels inch kumi, mi na balance kwa hewa. Ni ite mheshimiwa sikimbizani na miwa, mwenzako nimewekwa wako we umewekewa, nikaa kame lemewa, zime shika kamelewa, ubaya kakipewa kanaweza tembelewa, nyemelewa, nyolewa huyo ni wapi ali tolewa, so mi naonalea ufala ukienea tuwapake solea mama amalize kulea.
Chorus
DUSH.....
(dem ni tudush) MADUSH tule tudem ni tudush,(dem ni tudush) MADUSH MADUSH MADUSH MADUSH....(dem ni tudush) MADUSH tule tudem ni tudush (dem ni tudush) MADUSH...MADUSH MADUSH MADUSH