
BOUNCE Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwili mkubwa suruali kibamia (Bounce)
Kidimbwi unakuja bila hata mia (Bounce)
Mlangoni wafikiri heti ntalipia (Bounce)
Nimekataa (Bounce)
Ninasema? (Bounce)
Ukija geto kwangu usivae kanga (Bounce)
Nafaamu kama wewe unadanga (Bounce)
Na m'makonde kateseka sababu ya (Bounce)
Ume sema? (Bounce)
Mi napenda? (Bounce)
Ukipita niyaone kama yana (Bounce)
Ukiketi kwa juu uyafanya yana (Bounce)
Mguu wamtoto wanaita tango? (Bounce)
Wanapenda? (Bounce)
Umebeba? (Bounce)