
HIVO Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Cheza kama umelewaaa
(ohh umelewa)
Kata kama umelewa
(Kata kama umelewaa)
Cheza kama umelewa
Hivo
Kama chura kwenye maji
Hivo
Ilo zigo mauaji
Hivo
Unataka nini upewe
Hivo
Jishauweeeeeeeeeee
Tchup
Sobunawena
Ya Mapiano
Hivo
Swaga
Don't you want to think that I got the hoes tho
Let's party broh
Have fun yo
Shake that booty booty an go slow (shake that booty booty and go low)
Hivo