
40 Barz Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2012
Lyrics
40 Barz - One The Incredible
...
Yeah!
Anhaa!
one take Uno!
Duke touches,
M-Lab,
One take Uno!,
Aahh Yeah!
Eyo Habari mnoko,Nina habari moko,
Huwezi timiza kazi,Kama Askari choko,
Juu ya daftari ninatafakari msoto,
Kwa mistari mitamu Kama Cadbari Koko,
Hii ni classic, movie Kama dance,
Nawapa hisia Kali zaidi ya movie za mikasi,
Kwenye chati zao wao washindani mi nafasi,
Sifanani nao Mimi Ni zao wao Ni nyasi,
Mwanaharakati ka kikosi na siasi,
Mistari ina Siri nzito Kama boksi la risasi,
Sipo koki nipo confident, conscious reaction,
Kwenye buth Niko lost Kama pack ya Jurassic,
Genius nilie feli kupass mathematics,
Kama Rap Ni Drug mi nahabit Kama addict,
Spit Kama rabbit,kwenye A.T mal?
Lavito Heytated debated Hii Ni A_TIME classic?,
Vers balance ka account ya fisadi,
Kwako mlevi wa U-Star Kama round za vinywaji,
Dunda kavu ama baunce na kinywaji,
Skia Biashara kwenye spika,inaita sound za miradi,
Na ujumbe mtamu Kama saund ya king'asti,
Snitch ask round?,Niko down na illmatics,
Na spit kwenye mic ka risasi Niko kasi,
So huwezi pass around ka uko stuck kwenye traffic,
Aah! sibutui nashuti kasi,
Utui hujui siku zote vipi unisumbue kilaza,
Mdundo mweusi nausugua Kama namsasa,
Mpaka Duke ateme slag Kama movie ya ki_hustler,
Hii kwa wote wanao ikubali,
Sio flani na flani aipende,
Mi ndo Moko makutano ya mistari Ka stand ya Mwenge,
Fanya wengi waende mbali,
Wacha wachache wakae kizembe,
Kaa mbali nasi,au kaa sawa nikulenge,
Sa, kaa sawa snitch,mi Ni dawa Kama jivi,
Hawa wanahisi hila,hawako sawa Kama sisi,
Na Kama mkavu hapa utanawa utakuwa mbichi,
Money Ni power respect unaipata ukijua displin,
Ka kiongozi wa dini, nampenda mjinga na mtoaji,
Kitaani wanga huniofia Kama bingwa wa uponyaji,
Linda chako mjinga watu wanawinda hawako Safi,
Ukizingua unagongwa tako Kama mzinga wa konyagi,
Nampenda hasa anaehisi anaijua heshima,
Daktari rudia darasa mi Ni ugonjwa usio na jina,
Wanashangaa Mara Dina Mara Hawa Mara huyu we ni mbuyu mi Ni Moko sawasawa.!!!
Lyrics by
JUMA MOFU a.k.a Delgado da silver
@instagram; delgado_da_silver
Facebook;. Delgado da Silver
e_mail; [email protected]
Number one fun for One the Incredible:
NB: Sifa ya uhandishi Lyrics by me.( incredible vers)