![Mtoto Wa Mtu ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/27/8484811b3282469892fdad31bb70ca1e_464_464.jpg)
Mtoto Wa Mtu ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Mtoto Wa Mtu ft. Kayumba - Tamimu
...
oookaay... aaah tamim hapa...
original boy
gime 1 more.. mababy we unaniweza
na me nna roho... uliponishika we ongeza
show show.. napenda unavonipa ngum kumeza
awike jogoo...kwenye bed koleeza
vurugu mechi chumban
serenge za kitandani
unanipaga burudani
unaniwezaaa
ushaniteka my darling
mwengine me sitaman
ushawatoa kwa ramani
umewapotezaa
penzi liwashe kabisa likolee
ukipasua moyo wangu uko ww
nikamate misumari gongelee
c unajua nnavokupenda ww
kuna mtoto wa mtu nampenda
mtoto wa mtu nampenda×2
nishajifia fia
nshamzimikia
hata mwenyew anajua
atanito rohoo ×2
aiii mama..... kayumba hapaa
amenifanya niache umalayaa..
mtoto wa mtu
vichenji chenji nsitumie vbaya
.......
nsiende maskani kula kaya
......
mwenzenu amenizoesha vibaya
......
uke wenza twawaachia wanoweza
mm n mtoto wa mtu so shida zetu
penzi kiapo tushajichongea jeneza
mm na mtoto w mtu so shida zetu
aiii mama
vitamu tamu chombeza
aii mama
unavyonipa ongeza
REPEAT CHORUS....