Sina Stress Lyrics
- Genre:Traditional
- Year of Release:2022
Lyrics
Sina Stress - Tamimu
...
weeh Doni kiwango
j
j
j stereo
toka alivoniaacha
na enjot si alidhani ntafubaaa
ndo kwanza mwenzake natakataaa
mwambieni nanawiri sifi njaaa
onaa jamaa
asikwambie mtu bwana kuwa Single rahaa
me bado kijana
sijipi jaka la roho acha niwe Bachelor
ooh kwasasa sina stress
oo mapenzi jau pole yako dear ex
nimekusahau, sasa za nini sms
si ulileta dharau, kipi ulichosahau
mwenzako nimepanda dau
walaah sikumbuki tena kurudia matapishi
unanisumbua nitakweka Blacklist
sasa nipo single kurudi kwangu asubuhi
siulizwi nimetoka wapi
utajua hujui
nipo single mapenzi hayanisumbui
jamani kupenda basi
kama Paka na Chui
eti nijikondeshe nijipe mawazo
"sina stress "
Nishindwe kulala nikose usingizi
"sina stress"
nimpe bichwa ye ndio awe chance
"sina stress"
Jamani si ntaonekana chizi
"sina stress"
nomaaaa, sanaaaaa
nomaaaa, sanaaaaa
mwanzo alinirusha roho, akadhani atanikomoa
mwenzake moyo umekufa ganzii
anajisumbuaa, sistuki sina time yakumfuatilia
niko busy na life yangu yananiendeaa
kisa kapata penzi jipya, utu wangu akauvua
siku wakija kuachana thamani yangu ataijua
"niko busy"
sasa za nini sms!?
siulileta dharau
kipi ulicho sahau
mwenzako nimepanda dau
walaa
sikumbuki tena kurudia matapishi
unanisumbua nitakuweka blacklist
sasa nipo single
kurudi kwangu asubuhi
siulizwi nimetoka wapi
utajua hujui
nipo singleee
mapenzi hayanisumbui
jamanii kupenda basi
kama Paka na Chui
eti nijikondeshe nijipe mawazo
"sina stress "
Nishindwe kulala nikose usingizi
"sina stress"
nimpe bichwa ye ndio awe chance
"sina stress"
Jamani si ntaonekana chizi
"sina stress"
nomaaaa, sanaaaaa
nomaaaa, sanaaaaa
nipeee
tenaaa
oyaa muone chura yule palee
chura mtunduuu
ana hatari, kwenye michezo ya kizunguu
mara juu ya dari
mara kwenye uvunguu
miguu juu kama popo kanyea mbinguu
kaishisha kidogo kwa chini kaiokotaaa
usiombe akisasambua ananikoshaa
akitikisa msambwandaa
ukiwa ndani ya kanga
zaminyato akiganda
midadi inanipanda
aah nakubali sana wanangu Korea k
weeh J stereooo
Ahh Tamimu hapa
nisalimie mwanangu Jose wa Mazingatioo
wabishiii
watoto Pingu lana
hatari yapooooo
niwajibike for everybody
everybody
J Stereo on the Mix