In Vain Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Nakumbuka nikianza, nilidhani safari ingekuwa rahisi
Nilijua, usanii itanilipa
Sikujua eti kuna siku
Nitalala hata bila chakula
Lakini ile moto iliowaka ndani yangu
Ilinipa mimi motisha
Nikasukuma, nikavuruta
Nikajikaza, nyakati nyingine
Nikilia, usiku mzima kwa kua sikuelewa ndoto hii yaenda wapi
Give my time, nilipeana wakati mingi, si haba
Sidanganyi ni kidogo, kweli nilisacrifice
Ewe Mola bless the work of my hands
Let it not be in vain
Ewe Mola bless the work of my hands
Nisiwe tu wa kurandaranda
Nikijikaza nikipaza sauti
Bila faida
Ewe Mola
Let it not be in vain
Let it not be in vain
Let it not be in vain
Let it not be in vain