Ndiyakuthanda Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Nakumbuka siku ya kwanza,
Nilikuona kwenye uwanja wa ndege
Sura nayo ikanivutia
Na mapenzi yakasisimka
Baby your love just makes me wanna fly
Igniting my heart like fireworks
Calming the storms
But not the butterflies
Love,love
Baby your eyes are beautiful
Love, love
Your smile speaks multitudes
Mpenzi, Mpenzi
Je ne te quitterait jamais
Ndiyakuthanda
Urembo wako ulinipendeza
Kanipandisha mimi mawinguni
Jua nalo likanisalimia
Na mapenzi yakasisimka
Baby your love just makes me wanna fly
Igniting my heart like fireworks
Calming the storms
But not the butterflies
Love,love
Baby your eyes are beautiful
Love, love
Your smile speaks multitudes
Mpenzi, Mpenzi
Je ne te quitterait jamais
Ndiyakuthanda
Nakupenda wewe
Umenichanganya
Your eyes, your smile
Muyanzi
Ndakhuyanza my darling
Love,love
Baby your eyes are beautiful
Love, love
Your smile speaks multitudes
Mpenzi, Mpenzi
Je ne te quitterait jamais
Ndiyakuthanda