![KARUBANDIKA](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/74/E8/rBEezl2a93WAaxwHAACD4FVHViM970.jpg)
KARUBANDIKA Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2018
Lyrics
KARUBANDIKA - KING KIKII
...
wewe umenipenda, kwanini kunidanganya bwana we?
Kujibandika madaraka sio yako bwana wewe
Kama wewe umenipenda, kwanini kunidanganya bwana we?
Kujibandika madaraka sio yako bwana wewe
Nimesikia tetesi kuwa huna lolote, hata kazi huna, Ehh
Unazurura mchana kutwa, kupita kuranda randa mitaani
Nimesikia tetesi kuwa huna lolote, hata kazi huna, Ehh
Unazurura mchana kutwa, kupita kuranda randa mitaani
Kumbe hukuwa nauwezo wakunioa ila kuniaribia maisha
Kheri kuniambia ukweli ulivyo kuliko kunidanganya
nikuelewe vipi eeeh babu wee
uaminifu wako uko wapi eeeh babaaah
Usinione bwege baba)
(Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh)
(Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh)
(Ha' yote nimatatizo ya dunia baba)
(Ha' yote nimatatizo ya dunia baba)
Karubandika, Mmhh
Kumbe wewe tapeli, ha-ha-ha, ahaah
Nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie
Kumbe bwana yule, hana kitanda wala shuka
Pakulala hana, analala kwenye stendi ya basi
Pakulala hana, anakesha kwenye kituo cha sita, ehh
Karubandika yoyo, acha vituko we baba
Karubandika Iyeeh
(Usinione bwege baba)
(Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh)
(Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh)
(Ha' yote nimatatizo ya dunia baba)
(Ha' yote nimatatizo ya dunia baba)
Akiingia kwenye bar, kazi yake kuomba bia (beer)
Na akiingia kwenye beer, kazi yake kuomba bar
Hana hata aibu weh, sigara pia anaomba
Hana hata aibu weh, na supu pia ana bomu
Mitaani na kwenye masto'
Kujitangazia kuwa yeye nimukurugenzi wa kampuni fulani Ohh
Kumbe sivyo hivyo, Oooh
Karubandika Iyeeh
(Usinione bwege baba) Mama yooh