Mapenzi Yangu (cover) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mapenzi Yangu (cover) - Jolie
...
Jolie-Mapenzi yangu
Mapenzi yangu yaweke usiyatoe hasilani
Mapenzi yangu yaweke usiyatoe hasilani
penzi lina raha yake asiyejua ni nani
penzi lina raha yake asiyejua ni nani
Penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni
Penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni
Mapenzi matamu niwapo nawe mpenzi
sioni mwingine wa kufanana na wewe
Litalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Mpenzi usiwe na shaka nakupenda kwa yakini
Mpenzi usiwe na shaka nakupenda kwa yakini
wala sito badilika hilo ujue yakini
wala sito badilika hilo ujue yakini
mwingine sito mtaka hilo kaa ubaini
mwingine sito mtaka hilo kaa ubaini
Mapenzi matamu niwapo nawe mpenzi
Sioni mwingine wa kufanana na wewe
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Pendo tutalifaidi apendapo Rahmani
Pendo tutalifaidi apendapo Rahmani
Wala hapiti fisadi kuvunja yetu hisani
Wala hapiti fisadi kuvunja yetu hisani
Nami ninakiahidi sitokuacha hasilani
Nami ninakiahidi sitokuacha hasilani
Mapenzi matamu niwapo nawe mpenzi
Sioni mwingine wa kufanana na wewe
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Penzi langu ninakupa uniwekeee moyoni
Penzi langu ninakupa uniwekeee moyoni
Usije ukalitupa nikasumbuka duniani
Usije ukalitupa nikasumbuka duniani
Uwenda nika bwiya chupa nitoweke duniani
Uwenda nika bwiya chupa nitoweke duniani
Mapenzi matamu niwapo nawe mpenzi (mpenz....)
Sioni mwingine wa kufanana na wewe
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
Nitalienzi penzi lako sitokuacha hasilani
...........