Peke Yangu Siwezi
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Peke Yangu Siwezi - Kwaya Ya Mtakatifu Andrea Anglican Msalato
...
nko mbele zako ee mungu wangu, nisikilize , tusemezane leo, nimeambatanisha na hoja zangu pamoja na shida zangu
hv so wew uliyempa hana mtoto samwel ,hv so wew uliyegawa bahari ya kwa fimbo ya Musa,
hv so wew uliyemponya daniel kwenye tundu la simba.....
hv so wew ulitenda haya yoteeeee...
ikiwa umetenda haya iweje usitende kwangu hv hzi shida zangu n kitu gan kwako,×2
niambie umaskini wangu n kitu gan kwako , niambie magonjwa haya n kitu gan kwako
nami nimtumaini nan kama c we,je mi nimutegemee nan,×2 we yesu weeeee
see lyrics >>
Similar Songs
More from Mt. Andrea Kwaya
Listen to Mt. Andrea Kwaya Peke Yangu Siwezi MP3 song. Peke Yangu Siwezi song from album Nayaona Maono is released in 2022. The duration of song is 00:07:20. The song is sung by Mt. Andrea Kwaya.
Related Tags: Peke Yangu Siwezi, Peke Yangu Siwezi song, Peke Yangu Siwezi MP3 song, Peke Yangu Siwezi MP3, download Peke Yangu Siwezi song, Peke Yangu Siwezi song, Nayaona Maono Peke Yangu Siwezi song, Peke Yangu Siwezi song by Mt. Andrea Kwaya, Peke Yangu Siwezi song download, download Peke Yangu Siwezi MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Dismas Mwingereza
SamuelSam Mwak
oooh you are the one.
MwalukoG
[0x1f607][0x1f607][0x1f607]
Sailas Sarisonie4fd
The best song
[0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]