2030 Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
2030 - ROMA
...
Tanzania eeeh
…………..
Tongo records
Nchi yanguuu
Huwezi kuijenga roma
Haikujengwa kwa siku moja
…….
Hata pacho pia ni mwamba
Ila bado anakata viuno
Kaskazini bila Tanga
Ni msondo bila ngurumo
Alisema juu ya mwamba
Atalijenga kanisa
Na halitatikisika
Waumini tuianze misa
Kwenye njaa kula kuku aliechinjwa na padre ewallah
Adhana ikilia amka kamuombe ALLAH
We sheikh mrudie MUNGU
masanja kawa mchungaji
Sujudu Makha Madina