Mathematics Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mathematics - ROMA
...
It's a beutful day (it's a beutful day)
Asalam aleykum Tanzania.
Nimeshatikisa nyavu mindo MVP
wakakimbia depo ka polisi wa CCP
Nilo wapigisha kuruta kwata la JKT
Ninakipaji mimi kushinda hata THT
Nawapangisha foleni ka benk ya NMB
Minimesoma PCM sio PCB
So hata tufungwe mi ni Arsenal sio Man u
kibonde wenu ni member wa loan bord ya TCU
Inchi imeuzwa vigogo wanapita ATM
Tuwakemee mafisadi wote wa CCM
kuvua gamba haiwasafishi mbele ya CUF
CHADEMA mwone makambo wa JK kwa TFF
Sihtaji dancer wala mapanga yale ya TMK
Show zangu sio longolongo zile za Y2K
Nasio bandia ka kontena lile la BOT
Situkuzi kilichofeki kama TOT
Mindo Roma ntasimama kama KKT
Asante bongo matejo na bongo TBT
Mistari yangu mitamu ka miwa ya TPC
Na kwahiz floo ma MC mtalazwa KCMC
kodi ya walalahoi pombe ya TRA
Mili yao ndo biashara ndani ya BBA
Fataki anatoa mkopo ndani ya TIA
Kisha mimba azina uhakika mpaka DNA
Mhaya ushike elimu
Msambaa auze matunda
Mpemba avuesamaki
Mnyakyusa avune mpunga
aa aa aa yeah Rock city mikono juu yeah
Mbeya city mikono juu
Mwambieni hatukuogopa tabiri za shehe Yahaya
Mauti yangetufika bila kumpinga Jakaya
Sisaliti sirudishi kadi ya chama ka nakaya
Bado hainiingi akilini hukumu ya babu seya
( wagonjwa wanakufa mapokezi doctor anakunywa valuue. wazazi wanakufa leba wengine ICU.)×2
Waambieni mi mzalendo na hii ndo mbiu ya mgambo
Tanesco wakizima umeme hupitishwa mzigo wa magendo
Harakati za Dr.Lick Katika kuinua michezo
Mama Tel wamemsaliti Mwasiti wamempa tangazo
Lady pepeta hawavai msema kweli semunge
mipira hawaitumii eti kwa babu kunakikombe
Mafuta wanapandisha bei kisa wanamiliki sheli
wachina wanawapa tenda si tunanyimwa vibali
Gongolamboto wanalia misaada wamewatapeli
Bwandugu bwaga manyanga ayaokote Magufuli
Pesa za ujenzi wa shule kala namkewe headmaster
Thaman ya mabango ya kampeni somesha watoto veta
wanajiuliza Dr Slaa ni wapi anapata data
atakama nimevaa mlegezo ikulu napiga chata.
Ikulu imejaa vibaka manzese wanawakamata
makahaba wanaongezeka boom linapokata
Wanauzia kwa minada Mali za serikalini
mwasibu anacheki porno si tumepanga foleni
Mmakonde chonga vinyago
Muhaa kavuedagaa
Mmasai alinde geti
Mnyamwezi kaline asali.
aa aaa aa yeah Dar city mikonoo juu yeeah
Iringa mikono juu
Ma MC wanapata stress Roma nikitua ubungo
Tanga nilo wafunga tatu nawafunga tano apa Bongo
wanafuga rasta ili wapate madem wakizungu
we mchaga kauze mitumba mziki ushakufunga pingu
Mistari yako myeusi it's ok naipaka carolite
na tiba sio msaafu my people needs copyright
naivuta pumz ya baba ila kwa pua ya kitusi
Nasiachi kupiga goti mbele ya kali ya kasuki
Imamu akizin inje ya ndoa usiukimbie msikiti
Padri akilala na sister haibadilishi ukatoliki
Hata gangster hulegeza macho
ukimpa coton drugs
Na mnakamata mateja
akati nyie ndio mnauza drugs
iliujue fegi imewaka lazima upige pafu
so baba usimtume mtoto aiwashe utamua mapafu
Popote umwonapo ng'ombe jua hapakosi mmasai
na tongwe ndo ngome kongwe Zanzibar msinitoe nishai
Ndoto zangu kitamboo
zilikua nijekua padri
zikayeyuka nilipo puliziwa moshi wa weed
Yes naenda church nala mkate na ninasali
na popote utakapo niona shingoni nimevaa rozali
Hipop ni concios inanikosha roho kubeba nondo
minatafta pesa ya kula we unanicheki tu ya rehando
unadhan utaandika nn kaso hadithi za after bongo
niliamin walinihtaji ka yule babu wa loliondo
Magazet yanauza kwa skendo za wasanii
Machinga wanauza copy
KOSOTA wamekula deal
Shabiki anaburn nyimbo na show anaingia free
Underground usile ada urekodi ongeza bidii
Mzaramo acheze vanga
Mkurya apige kwata
Mdigo atungue nazi
Msukuma achunge ng'ombe
aa aa aa you know Tanga is mine Yeah
Tanga mikono juu.
Tanga mikono juu