Utanizeesha Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
Lyrics
Unaenda sasa
Mwaka wa tatu
Sijala chips yai eti maisha ya tafu
Baba sasa mwezi wa tatu
Yani unaacha buku tule milo mitatu
Utauwa
Kuwa makini we utauwa
Hayo sio mapenzi we utauwa
Nachokiona utaniuwa Oooiiiih
Hey
Eti kısa nakupenda
Ndo tuishi nyumba isiyo na mabati
We baba ulionaga wapi aku
Aku Nasema mimi sitaki aku
Kula ugali na picha ya samaki
Nachokiona
Mwenzangu utanizeesha
Utanizeesha
Mwenzangu utanizeesha
Utanizeesha
Mwenzangu utanizeesha
We baba huna maana
Mbona tutauwana
Yani mimi mtu mzima nilalie chama
Yani hauna maana
Unanichanganya
Kisa wewe ni mmakonde ndo unilishe panya
Sabuni ya kuoga tunaoshea vyombo
Hata nkitembea minanuka shombo
Naunavyo nichunga utasema kondoo
Aku misitaki na ndo nishasema no
Mi nimechoka haki ya nani nakukimbia
Maana kila siku kuna dili unasikilizia
Siwezi kuvumilia
Gari lako bovu naomba unishushe abiria
Hey
Eti kısa nakupenda
Ndo tuishi nyumba isiyo na mabati
We baba ulionaga wapi aku
Aku Nasema mimi sitaki aku
Kula ugali na picha ya samaki
Nachokiona
Mwenzangu utanizeesha
Utanizeesha
Mwenzangu utanizeesha
Utanizeesha
Mwenzangu utanizeesha
Utanizeesha
Mwenzangu utanizeesha
Utanizeesha
Mwenzangu utanizeesha