Kama Ujui Utajua ft, Balaa Mc Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kama Ujui Utajua ft, Balaa Mc - Platform
...
Ooh ooh oooh..
Aah aah aaah..aah
Ooh lolilo lilo lilo lilo lilo ooh..
Oooh..Aty kwa baby wangu sijui unambie nini..maana amenikaa kichwani
Kwa honey wangu sijui unambie nini..maana ameniganda moyoni
At ukinambia anadanga ndio kabisa nakununia..tena nakuona mshamba unataka kumuharibia ooh..ananipa nyama ya ulimi chini kwa chini,ananifanya navimba hapa mjini,namuamini sweety yamini akizidisha kidogo ntampeleka nyumbani oooh..sijui nimuonge moyo nife ama nimuonge gari akavimbee ama nimuonge mali nifilisike maana sijawai penda Toto la mtu hili ndo la kwanza
leo shemeji yenu nampost
kama hujui utajua
watsapp namueka DP
kama hujui utajua
Aaah nampost Ig
kama hujui utajua
Aaaaah...
(kama hujui utajua)×5
Acha bahariaaa...
namchunga sije akanipoteaa..
mi sijali hata maneno mkiongeaa..
ye ndo wangu tayari nishamchagua
wenye wivu mjinyonge na soon tunamuoa, nawaambia..zidisha mahaba nipagawe mchumba,nikuhonge pesa zote,gari mpaka na nyumba,sijui umeshushwa wewe ama umeumbwa,kwa kweli tumpe hongera aliyekuumba wewe..
Na kwake ndo sibanduki sichomoki
kama hujui utajua
Na leo najisnap napost
kama hujui utajua
Napost kote Ig mpaka status
kama hujui utajua
Wala sijali comment zenu wanafki
kama hujui utajua
Oooh mmmh..
Naye ndo taa kwenye
(Giza la ngome yangu)
Ye ndo furahaa
Na kwenye njaa
(anashiba maneno yangu)
Mi najiona shujaa..oya weh mtoto fundi kwenye mechi (ka uwanjani)naomba name kiungo bora miguu yote(ka uwanjani)Sub roho zinawauma wanakosa namba uwanjani(uwanjani)
(kama hujui utajua)sa boli unanuna nini ulimtongoza akakataa,we baki unakanyagia ety anadanga kila mtaa,oya Boyz vinagalamiwa usione vinang'aa,meza mate utaumizwa we endelea kushangaa aaih..achaa bahariaaa...