Majeraha Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Majeraha - Platform TZ
...
Mmmmmmmmmmmmmmmmm mmmmmmmmm
Ni wangu kilema na chechema na moyo umejawa ganzi
na nnamengi ya kusema ni wapi nishikilie
kasha nipiga kalenda kanipanga foleni na moyo wangu
Akanichana chana ni wapi nishikilie
Umeikoma furaha yangu
kutwa mastress nikufikiri wewe ungeniua eeehn
Mapenzi yanatesa uyasikie ee
Nikakupa na roho yangu (Te amooo)
kumbe wewe kuku unategwa kwa mchele ... Ungeniua wewe
Mapenzi yanatesa asikwambieee
kumbe kulalama ilikua kawaida aaahn...
mi nakonda mwenzangu yeeee hana shida
aaahn .....
kulalama ilikua kawaida aaaaahn .....
mi nakonda mwenzangu hana shida aaaahn...
na ukimuona mwambiiiiee
na ukimuona mwambiiiiee
ndio mimi ndo yule wa leo na kesho.
yeeeee iiiyeeeee... ooooh mwambiee...
na ukimuona mwambiiiiee (bado majeraha na uguza )
Na ukimuona mwambiiiiee (Mwenzake majeraha na uguza )
ndio mimi ndo yule wa leo na kesho ( bado majeraha na uguza )
Yeeee iiyeee ......oooooh oooh bado majeraha na uguza
Mmmmmh mmmmh...
nishaganda kama sumaku ata nikinaswa huwezi nasua,
Ugoro umeufanya kuwa tumbaku ,
niliposhona yeye alitatua, ona na moyo kaufanya daraja
la kupitisha mabaya, Mengi mdomoni nazidi bwabwaja
umeikoma furaha yangu kutwa mastress nikufikirie wew ...
ungeniua wewe ..
Mapenzi yanatesa uyasikie ee
Nikakupa na roho yangu (Te amooo)
kumbe wewe kuku unategwa kwa mchele ... Ungeniua wewe
Mapenzi yanatesa asikwambieee
kumbe kulalama ilikua kawaida aaahn...
mi nakonda mwenzangu yeeee hana shida
aaahn .....
kulalama ilikua kawaida aaaaahn .....
mi nakonda mwenzangu hana shida aaaahn..
Wewe mwambiee (badoo majeraha nauguza )
oooooohn Mwenzake majeraha na uguza
Ndio mimi ndo yule wa leo na kesho, (bado majeraha na uguza )
yeeeee iiiyeeeee.....
Mwenzake majeraha na uguza (aaahn nauguzaaa)
DREAM CASH ....