
46 BARZ Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Fourty six
Bon a peti, naserve word as a warm dish,
rhyme ndio bait, cheki vile inahook fish,
Generous kwa bars me sijai kuwa mselfish
Let them out 46 na bado nafieel rich ish
Wife alicome na mziki ndio maana me huwaga a step father
Siifanyi juu ni riziki tu, me huglirify the father
Na Ka si Yesu kwa mziki buda iyo ni blanda
Never hating language me hubonga tu ni love my broda
Walikataa kutucheza Wakakaza sai wakavura blada
Wakizidi kufinya media tutageuza tumechezwa Netflix bana
Born sinner nkakuwa born again
Man a driller nkakuwa born kwa geng
Royalty inarun kwa blood cheki ata mabati
46k Geng si hucome na mambati
Heir kwa throne kwa game niite Dinares
Nipate waikiki nikisample majinare
Stambui story za kiki na stambui kucheza rware
Nasaka his face na kusecure tbag me hurauka ngware
Naeka flesh kwa beat
wanashangaa ka niko fresh kwa streets
Wanangoja nibeat,
na ndio tumeanza beter take a seat
live the word unaezaniita holy Joh
Maswali mingi daro me ndio odijo
46 bars na juu nimecome na mask,
nawapea trip na hii mziki inawapeleka hadi mars
Ndio uget hii mziki itabidi umebuy,
Juu ukipay utapay attention, Thats why
Favour nimepocket, starts zinaskyrocket
Nafeed from the source yeah Pluged kwa socket
Focus haijakiwa blurry ata wakifoka
Eyes on the price, God daily hinisurprise
Lit ka Christmas na eve ya new year
the kinda knowledge yenye unasubscribe here
Kinisoma itakuwa tricky, Im a closed book pia
Brace yourself for barz haina hook hii pia
Nafeel special juu naufanya leo si kesho,
Nakill tention juu niko na helper special,
Najua umewitnesss Jehova vile mlango ya maskio yako tunabisha
Mwenye me huogopa ni God, hao wengine hawaezinitisha
And the end doesn't justify the means its a distraction
It means hakuna njia ingine to heaven Christ ndio action
Heart yangu iko left na soul iko right
Mind renewal me nafocus on Christ
Before I leave I gotta say this
Christ is end and still the genesis
so wakikazana kuikill me nagive it life
Kabla unibook jua nacome na wife,
Hehehe