
Buda Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Bazenga mimi ndio kusema
Makena, namdara but napenda
Lavender, shawtys wananikemba
Got wisdom ya wahenga, can't keep up wanahema
Jina itashika toka hapa fika Emba
Jana zilishika though kashadda ni kapyenga
I been doing my thing though ka Fena
Niko na stingo mob kamasutra spitter man I
Switch it up then go off
Killer flows when we rocking shows when I'm on stage na Mwatika
Wanashindwa kujizuia tu kama Mercy Masika
Ni manduru kuwika ni maneighbour tu kukatsika
Wakicheki mresh amecome over next thing ni ukuta tu kutingika
Misiwezi tishika shika mic then fikisha
Meso kwa bro tell him to come pick her up when I'm through
I got your sister calling me daddy your stuck in that brozone
Write shit like this in my own zone
Sky high with layers ka ozone I made hip hop my own home
Na mi ndio buda
Buda cheza chini
So young in the game but wananitreat kama buda
Buda cheza chini
Na si wachinku but wananiworship kama Buddha
Buda cheza chini
We taking over Africa si unajua buda
Buda cheza chini Buda cheza chini
I can never be stopped till I make it to the top ninazidi nikisonga
Bado nasupply bars hata zifungwe ju ya corona
Hii ni homa but a nigga been colder
Kuna marapper sahii ni magoner
Wakitry kuvaa hizo mask niliona right through their fake persona
Kuwasoma kama chopi wananicopy
Niko matin' overdose na ma odi
Ukipata nimeandikwa kwa OB
Ni kuwamada most wanted Nairobi
Show biz kama haunishow biz
Tembeza peleka mdomo kwa dentist
Selector chezesha tribe kwa Playlist
Nobody hukupick(Pic) ni ka weh ni photobic
Umecatch bro unaflip Simean ya gari au whip
Unavuta safari unatrip
You'll only be the best if I'm under 6 feet deep
We hear your shit n press skip
Really uninterested blueticks hazina message
Unadai kutop charts huku hatuwezi kupin infact tunakuarchive in a second
Ukidedi tutakupost kwa status
Caption ni bottles pop smoke to your memory tukikumention
Black king ka Tchalla black panther
Hakuna mtu that nawork under(Wakanda)
BYOB na matime tublaze tukilima mawe kwa shamba
Umeweza yes bila pamba But niringie siezi kulamba
Heri nichukue mitungi nikachote waba na kichungi kule kwa wakamba
Natoka mashow magizani inabidi nimedoze kwa kibanda
Manigga wanablow kitu wanajua pekee ni vitu wao hudo kwa kitanda
Madunder but haina worry bana na mm natambua bado mm ni kijana
Sina anything but a wedding ring ya mm na mangoma you my daughters
Na mi ndio buda
Buda cheza chini
So young in the game but wananitreat kama buda
Buda cheza chini
Na si wachinku but wananiworship kama Buddha
Buda cheza chini
We taking over Africa si unajua buda
Buda cheza chini