Inafaa Hivyo (Interlude) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
They say everything has a price tag I don't really think it's a free world
Before you love someone with no cash jua hizo fantasies ni za Zee world
Lesson nalearn huku mtaa Kiamumbi sides za Kahawa West hapo karibu na Maziwa
Na hii ni style watatii ka kahawai ipate latha usiwaste unaadisia maziwa
Unatokwa kila kitu si tenje walenje na dame wako bado anakatiwa
Bora usishikwe na rende kwa stenje afadhali kuliko mob vile utavamiwa
Na kuna dame alinishow that she knows that mi huplug nikiwa campo
Wao huniita El Chapo so akapoint at my face and asked I hope hautamind ukikaliwa
Weh hufanya for the fame
I do it coz I don't want you ever forget the name kuna difference
Uko mtaa umemblain
Na watu wako nje wanan'gang'ana kugain hiyo interest
Time ya covid 19 you better stay home maze it's the right thing
To do right now hands sanitizing
If it's not it's your fam that your sacrificing
Steady rising na si fantasizing
Take hii time kureflect jiinspect ka mwala jirespect
And invest in yourself maybe in time utakuwa impressed
A little help maze usitupe mbao
Kazi ni kushinda na kusuka madifrao
Ndio mechi ijipe buda saka mathao
God over money but si holier than thou
Nakumbuka wakati studio ilikuwa mabati
Si mafago hata nikichana jaba sizitaki
Hatusongi tumebaki no lights tuko static
Hoping tutablow siku moja ka Nagasaki
Tulipitia struggles na sahii tuko kwa babos
And the revenue doubled we ain't living in our bubbles
A Kenny Rodgers example you gotta know how to gamble
Anything ka si works joh naieka kando
Jina ni Kilele I'm the tip of the top
And I represent real hip to the hop
Na watu hunishow ngoma sahii ni ass so ka vida haina hips tunahop
Ka si party party hiyo shit tunastop
Hatutaki felings ukiflip utaflop
I'll be me kumake it we'll see right time will tell ndio maana inatick na kutok
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Nikimake siezi sahau mamorio Inafaa hivyo
Hakuna mtu napenda kama mokoro Inafaa hivyo
Hatudai masnitch watu wako na usoro Inafaa hivyo
Na kuna venye napendwa na waroro Inafaa hivyo
Amani mtaani roll kamajani Inafaa hivyo
Life tu fiti na food kwa sahani Inafaa hivyo
Gava haibi doh haituachi mashakani Inafaa hivyo
Justice fair haimatter ni nani Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Inafaa hivyo
Nikimake siezi sahau mamorio Inafaa hivyo
Hakuna mtu napenda kama mokoro Inafaa hivyo
Hatudai masnitch watu wako na usoro Inafaa hivyo
Na kuna venye napendwa na waroro Inafaa hivyo
Amani mtaani roll kamajani Inafaa hivyo
Life tu fiti na food kwa sahani Inafaa hivyo
Gava haibi doh haituachi mashakani Inafaa hivyo
Justice fair haimatter ni nani Inafaa hivyo