![Fracas](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/23/3d0dbf37f803446dafc805d893532b07_464_464.jpg)
Fracas Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
I've been in my sleep
na ma-visions si najua ni za kufika mbali
moving on a solo grind juu ugwangi me sidai
fom za utiaji na wivu peleka mbali
Troup tumelink ndani ya hii kambinare
umezoea caps now try to say it in my face
now things changed,now we tryna do it my way
feeling blessed daily si kila day ni Sunday
fracas ndani ya scene
iyo kelele ita-attract hii idha majirani
Bora pesa Iko si tunaziwasha kama thate
sai Dem ha-hesitate ye ako ready kukua married
23 ambia dere wa mat wanipe mat play
chorea foota me ni Messi ikikam ni kwa word play
tunakipurura juu ya mix ya bob Marley
ngoma safi,tunaimba ni kama national anthem
I swear
labda nishuke ma3 si nywele
nadai kumhonga lakini anadai iende mbele
recollect your thoughts ujikumbushe kusonga mbele
me ni m-wise na kihara inatokea hapa mbele
Yoh ana-entertain madem wa wenyewe ni mbenye
Dem amevaa visexy ndio achekeshe Ben 10
Niko pia na mambo ndio siwezi Yoh ku blame dem
skuizi east lazima nichezwe kwa senke
mic kua priest ndio nime-make my confession
siwezi kua weak na fight hii ki Armageddon
huu manzi anabonga wise I swear ako na lengo
design nimejam walai kwa biz sipenyi meno
utalamba chin design huwezi heal na menthol
nakungoja 5 minutes sipitishi ata na second
life ni prac inakufunza tu malessons
huu broman anabitch ashonewe leso
I've been in my sleep
na ma-visions si najua ni za kufika mbali
moving on a solo grind juu ugwangi me sidai
fom za utiaji na wivu peleka mbali
Troup tumelink ndani ya hii kambinare
acha captions za insta now try to say it in my face
now things changed,now we gonna do it my way
feeling blessed daily si kila day ni Sunday
fracas ndani ya scene
iyo kelele ita-attract hii idha majirani
Bora pesa Iko si tunaziwasha kama thate
sai Dem ha-hesitate ye ako ready kukua married
23 ambia dere wa mat wanipe mat play
chorea foota me ni Messi ikikam ni kwa word play
tunakipurura juu ya mix ya bob Marley
ngoma safi,tunaimba ni kama national anthem
I swear