![Keyz ft. Ady Pablo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/15/47544cb9406b475c970cdfb3979dc679_464_464.jpg)
Keyz ft. Ady Pablo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Keyz ft. Ady Pablo - BMV Goox
...
hii ndio life nilipewa ku-live
bro alikam from overseas
tumeparty from ever since
ni nini ingine ka si blessings G
place ganji kwa pocket G
trace place utapata iyo shhh
uski ganji na-make nikispit
mate yangu sai Buda ni biz
lord please nipee izo keys
ni-unlock hizi blessings za G
Niko busy still high kama B
naflex beat ka Iko ndani ya gym
naweigh big juu ya bars na spit
though si easy tuli-swear always kuwin
still kwa projo nkingafu mariz
obsession inaeza fanya usimp
sikumbuki adi story za Jana
juu leo pia zimengwata
ata nikue aje kwa tafash
God lazima ajue how kunipanga
ndio maana hao niita mjanja
inalika iyo alele ya jana
fahm ni msick amelala
napray to God aweze kusmama
naona umeanza madramas utaenda home usiku saa saba
huezi chill nao ukiwa sober
labda hao manigga mkate mawaba
mambo ni tight solution si kila saa inataka mkwanja
hii mziki ni load juu currently nabeba fans kwa hii uwanja
hii ndio life nilipewa ku-live
bro alikam from overseas
tumeparty from ever since
nini ingine ka si blessings G
place ganji kwa pocket G
trace place utapata iyo shhh
uski ganji na-make nikispit
mate yangu sai Buda ni biz