![Special Lady](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/22/2acf4ab7da094baeacfbef92530012dc_464_464.jpg)
Special Lady Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Dee Lucky Kellannaaaaa
Chico bendicidooooo
The one the Restividaaaa
Uzuri wa macho yako me swez compare
Soft ya lips zako me swez compare
Nakuahidi sitakutia doa
Nitakupa raha na sitakuboa
Napenda style
The way you smile
Nikapenda sura yako
nikapenda tu Ulivyo
Sura yakooooo
Napenda macho yakooooo
Napenda cheka yako
Napenda tu jinsi ulivyoo
To me you are something special
You are so good like an angel
You are my special Lady
Oooh bby
To me you are something special
You are my beautiful angel
You are special Lady
Oooh My Bby
Nkamate nshakamatika aaaah
Nkikuona nafarika aaaah
Pembeni yangu ukisikika
Upendo wako kama miujiza
Napenda swagga zako
Napenda unavogeuzaga shingo yako
Na hiyo sura yako napenda unavolegeza macho yako
Napenda swagga zako
Napenda unanikoshaka mwenzako
Na hicho kipua chako
nadata ukinkonyezaga jicho yako
Bby
Without you girl I'm suffering
Living with you is what I need
I need you now you are my morning grace
Marry me be my lady
To me you are something special
You are so good like an angel
You are my special Lady
Oooh bby
To me you are something special
You are my beautiful angel
You are special Lady
Oooh My Bby
Nkamate nshakamatika aaaah
Nkuona nafarijika
Pembeni yangu ukisikika
Upendo wako kama miujiza
Mamaaaaa
Ushandatisha sana
Nipende zaidi ya janaaaaa
Ukinuna ntakwamaaaa
Bby ntakwama
Ooh Mamaaaaa
Nakuelewaga sanaaa
Sifurukuti Mamaaa
Nakupenda ndio maana
You are my only girl
Sura yakoooo
Macho yakoooo
Oooooooh
Style