![Every morning](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/27196ab0b1324dcc83b068544a3dcc98H3000W3000_464_464.jpg)
Every morning Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Ouuuuuu ouuuuuuh uuuuuh uuuuuh
Every morning Every morning
Hola cómo estás
Karibu Tanzania me gustas
Bby cómo estás
Karibu mi nakupenda kwa dhati
Bby ushanielewa usijechelewa
Twende taratibu usijepaliwa
Mi nakuelewa we ni mwelewa
Nataka tuendane pamoja kama vile
Kama ng'ombe na pembe
Daima mbele tusonge
Ringa mama usikonde
Nenepa uwe chibonge
Mama la mama
My bby mama
Mama la mama
Acha nikuimbie
Every morning morning
Every morning
Morning morning
Acha nikuimbie
Every morning morning
Every morning
Morning morning
Acha nikuimbie
Uuuuuh every morning
Mmmh mama mmh bby
Nikikosa mama am sorry
Tusirefushe mastori
Mzuri kama kamdori
Ooh bby wewe
Tulia kwangu my love
Nakiri kweli am in love
Mi chica Argentina
Ooh mimi bby am in love
Usiogope niamini love kwangu uko salama ooh
Uhuni mi Sina
Nakupenda kweli Flor
Mama la mama
My bby mama
Mama la mama
Acha nikuimbie
Every morning morning
Every morning
Morning morning
Acha nikuimbie
Every morning morning
Every morning
Morning morning
Acha nikuimbie
Tulia kwangu my love
Nakiri kweli am in love
Mi chica Argentina
Mi chica Argentina