![Street](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/18/5924c1771ac547b5bba36388eab01591_464_464.jpg)
Street Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Weuwee aha! Yoh Ram! OK ah
Ama give it all wala siofii
Ama keep it real nikiwa na ma G
Usiulize nani mi ni product from the street
Wanangu wote walio anguka R I P
Nilianza young now am grown
Ninakesha 24
Making hits making songs
Naifanya hii from the soul
Nanaa mtaani tuna uwana
Sio usiku wala mchana
Dayly tunakimbizana
Wana wanaiba sana kielimu tulisha kwama
Sasa nini nitafanya nilete plate kwa mama?mama!
Mitaa ina mengi, mengi yapo huku
Mwanangu kauliwa kisa wallet yenye buku
Jamii ina mtenga mtoto eti kisa kazidi utundu
Kitanda hakizai haram kinazaa uchungu
Mkihitaji ushaidi, ushaidi upo
Sihitaji ulinzi kwako Mungu yupo
Vichwa vinalipuka milipuko!
Mwanadamu anapo chomwa kama mfugo
Serikali nani ninge muona ninge mkimbilia
Mahakama ya ghetto inafanya vijana tuna umia
Police nao hua wananungana na raia
Pigeni ueni alafu Maiti mtatuachia
Naishi kwenye movie ya kutisha
Labda nikifa hili movie litaisha
Ukisema ukweli wanasema haiwezi lipa
Kwenye trend ni harmonize, mondi na Ali kiba
Kuna siku nilihisi kudata
Nikitembea mdogo mdgo mitaa flani ya tabata
Kukata kona kuna Kidali kikanikamata
Akaniambia mi ni mwiz tangu huko alinifata
Leo atanikata mapanga panga kata
Mavazi nilio via nilifanana na kibaka
Vest mzula kinjunga nimekikata
Nyuma nina kibegi daleki ina ning'inia
Nika mwambia brother sikia ahaa brother sikia
Mtaa huu mi ni mgeni na mimi ni mpita njia
Kwenye bag sina panga, nime baba bibilia
Nimetoka kuuza mtumba, wazazi wananisubiria
Nikama zali kwangu mchizi akaniachia
Roho ikamsuta na huruma ikamjia
Nikaondoka mdogo mdogo huku nguvu zimeniishia
Nika amini Mungu yupo, na leo kanipa njia
Amen! rip Dc rip Rama Ndobe
Kwaajili ya mtaaa
Weuuwee!