Mwanga gizani ft. Medy molin Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Nataka waambia, sema masikio yana shindwa sikia
Nataka waonesha, sema izo ego ndio zinawazuia
Usiku nikikesha, natunga mastori ya kuwa adithia
Like! How to master the mind
Niwape ma code niki rhyme
Gizani ndo tunapo shine
Na teleport am so ahead of my time
Kwa kila beat na murder
Street na move kijanja
Usiku ni wanga!
Weed na roll na lamba
Skuiz kuish ni ujanja
Soma kwa stanza buda
Ninakuona yuda
Nini unafanya mjuba
Mimi ni mwana kumbuka
Na, nakuombea amina
Mungu akulinde uzidi kuishi amina
Uzidi sogea amina
Na kila niki rap usikie maandishi amina
Uzidi nogewa na vina, na kuombea amina!amina!amina
Mwanga kwenye giza
Kwenye matarajio ndipo panaumiza
Siwezi kuumia na maumivu yasha nikomaza
Aaaaaaaah!
Kwenye giza ikawe nuru
Haya maandishi yana agiza ukawe huru
Siwezi kuumia na maumivu yasha niumiza
Kama ni fumbo, nani katufumba?
Kama ni anguko, nani katuangusha?
Tupo utumwani nani katu uuza?
Uhuru ukizidi, maadili yana shuka
Msingi una nyufa, huu mjengo uta anguka
Hakuna umoja, upendo umekufa
Nahitaji pambana, nahitaji kuchana
Nahitaji kufanya, ni wape maana
Niseme hivi vyote visivyo onekana
Utanda upo wazi! Umetanda ile sana
Kwa jina la baba la mama la mwana
Tukae pamoja tuponye hii karma
Mizimu ya mababu inatusakama
Mbona tuna fanya Kama walivyo fanya?
Wale wenye maana, walio shikamana
Naku tuaminisha kwambaa tuna laana
Eei yeah!
Mwanga kwenye giza
Kwenye matarajio ndipo panaumiza
Siwezi kuumia na maumivu yasha nikomaza
Aaaaaaaah!
Kwenye giza ikawe nuru
Haya maandishi yana agiza ukawe huru
Siwezi kuumia na maumivu yasha niumiza