![Nifundishe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/10/1b447e7d540547d9b1c929d17f18cc96_464_464.jpg)
Nifundishe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Niwe Nakiburi cha nini wakati najuwa Mungu Yupo usipendaga viburi
Nijipandishe wa nini wakati najuwa wewe upo ohh ulie juu ya Yote
Ahhhhnn
Atanikijiweka wa sodoma na gomora
Maana najuwa ahh utanifutilia mbali Jesus ahn
Hata nikikimbia uso wako
Mungu mimi najuwa giza na mwanga kwako ni sawa sawa
Nifundishe nikujuwe maharifa yako
Bwana ni ya juwe hekima Yako ni hijuwe nisije nika kutenda dhambi hiii
Oh baba
Ahh ahh Nifundishe
Ahhhh Nifundishe nikujuwe Mungu
Kutaja jina lako naogopa naogopa naogopa maana sija funzwa kulitaja
Nifundishe kunyenyekea mbele zako ninapo kukusea na lialia lia yohh
Naogopa naogopa Nifundishe nikujuwe maharifa yako
Bwana ni ya juwe hekima Yako ni hijuwe nisije nika kutenda dhambi hiii
Oh baba
Ahh ahh Nifundishe
Ahhhh Nifundishe nikujuwe Mungu
Ahh ahh Nifundishe
Ahhhh Nifundishe nikujuwe Mungu